Taasisi ya utafiti ya Twaweza imefanya utafiti juu ya hali ya chakula na kutoa matokeo ya utafiti huo ambapo wamehoji watu 1,800 wa Tanzania bara “Zanzibar haikuhusishwa kwenye matokeo hayo”
Idadi kubwa ya waliohojiwa asilimia 78 wamesema kuna uhaba wa chakula katika maeneo wanayoishi, ripoti hiyo imeongeza kuwa hali mbaya zaidi katika maeneo ya vijijini ambako asilimia 84 wameripoti uhaba wa chakula ikilinganishwa na asilimia 64 katika maeneo ya mijini.
Ufafanuzi wote kuhusu ripoti hiyo upo kwenye video hii hapa chini
VIDEO; Kauli ya Waziri wa kilimo kuhusu hali ya chakula na ukame nchini