Top Stories

BREAKING: TCRA watangaza habari mpya “hatutazima laini zote ambazo hazijasajili leo” (+video)

on

Leo January 20, 2020 Mkuurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA Kilaba amefanya mahojiano juu ya zoezi la uzimwaji wa laini ambazo hazijasajiliwa kwa alama ya vidole.

Soma na hizi

Tupia Comments