Ukitaja list ya mastaa wa rap ambao waliwahi kufanya vizuri TZ toka kipindi ambacho game ya Bongo fleva ilianza kushika, huwezi kuacha jina la Black Rhino.
Unaikumbuka ‘Usipime‘ ?!! Au unakumbuka ile michano ya kwenye ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q ?!! Basi huyu ndio Black Rhino kwenye ukali wake, kaja na ngoma nyingine ambayo imetambulishwa rasmi mtaani leo, humu ndani wanasikika pia HDN na Chibwa Man ambao wamepewa collabo.
Dakika zako tatu kuipokea ‘Time ya Kumeki Doo‘- Black Rhino Feat. Chibwa Man & HDN… Bonyeza play uisikie.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE