Habari za Mastaa

Brothers and Sisters ni Rotimi tena kaleta ‘in my bed’ (+video)

on

Brothers and Sisters Shemeji yetu Bwana Akinosho maarufu kama Rotimi amerudi tena kwenye trending wiki hii na video mpya ya ‘in my bed’ aliyomshirikisha Rapper  Wale na kama kawaida hakoseagi… dude linazidi kupanda tu na limefika namba 20 kwenye Trending ya youtube sasa hivi, litazame lote hapa chini…

MAAJABU: MTANZANIA ANAEMILIKI DUKA LISILO NA MLANGO NA HAKUNA ANAETHUBUTU KUDOKOA CHOCHOTE

Soma na hizi

Tupia Comments