AyoTV

“Hili ni tatizo, lazima tujue tunakwenda wapi” –Hussein Bashe (video)

on

“Hili ni tatizo lazima tujue tunakwenda wapi” hayo ni sehemu ya maneno ya Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe aliposimama kuchangia Bungeni Mapendekezo ya mabadiliko ya muswada wa sheria ya shirika la mawasiliano ya simu Tanzania 2017 (TTCL) mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini

VIDEO: “KIONGOZI NI KUSIKILIZA WATU, SERIKALI MNAFICHA NINI” – MTAZAME HUSSEIN BASHE AKIONGEA HAPA CHINI

VIDEO EXCLUSIVE: DR. LUIS SHIKA AONGEA BAADA YA KUTOKA POLISI ‘WHAT DO THEY MEAN” MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments