Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?
Habari za Mastaa

Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?

November 9, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Kama umekuwa karibu na mtandao wa Instagram utakuwa umeshuhudia mastaa wengi wakipost vipande vya video ya wimbo mpya wa Koffi Olomide unaoitwa ‘Selfie’.

Koffi ni mkongwe wa muziki toka Congo, ni moja ya majina machache yaliyodumu kwenye muziki long time sana… Hakuna mwenye wasiwasi kuhusu ubora na ukali wa Christian Bella inapokuja kwenye suala la muziki wake.

Kuna picha amepost Christian Bella kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Koffi ndani ya studio halafu caption inasomeka hivi >>>> ‘Nikiwa studio na big artist @koffiolomide_officiel .. Kazi nzuri inakuja‘>>> @bellachristian1

Hiyo ni dalili nzuri kwamba collabo ya Koffi Olomide na Christian Bella ndio story nyingine kubwa inayokuja any time kuteka vichwa vya habari za burudani.

Nikiwa studio na big artist @koffiolomide_officiel Kazi nzuri inakuja

A photo posted by christian bella (@bellachristian1) on Nov 9, 2015 at 6:29am PST

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Millard Ayo November 9, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Malaika wa ‘Sare’ amekuja na kitu kingine cha nguvu, hii ndio ‘Zogo’ yenyewe.. (Video)
Next Article Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?