Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Sports

Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)

December 16, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London.

2F6D8FA200000578-0-image-a-25_1450286714967
Eden Hazard na Thibaut Courtois wakiwa hospitali

Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016, walienda hospitalini hapo kuungana na mashabiki zao watoto waliolazwa hospitalini hapo, baada ya hapo mastaa hao wanatajwa kufanya party ya pamoja Stamford Bridge sambamba na uwepo wa watoto.

2F6DAA5600000578-0-image-a-58_1450287032901
Nyota wa Chelsea katika picha ya pamoja na mmoja kati ya watoto waliolazwa West London

2F6D8F6C00000578-0-image-a-34_1450286755636

2F6DA93D00000578-0-image-a-55_1450287016879
Hazard akimpa tano mtoto

2F6D8F7500000578-0-image-a-22_1450286704622

2F6DA9B200000578-0-image-a-39_1450286883789

2F6DAA2100000578-0-image-a-51_1450286997170

2F6DA95400000578-0-image-a-42_1450286901460

2F6DC10D00000578-0-image-a-66_1450287221722
John Terry akishow love na watoto kwa kupiga nao Selfie

2F6DC11A00000578-0-image-a-69_1450287231503

2F6DC10400000578-0-image-a-63_1450287212688

2F6DC1B800000578-0-image-a-78_1450287259960
Oscar nae alikuwepo kuenjoy na watoto

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

Rama Mwelondo TZA December 16, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz)
Next Article Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?