Michezo

Nimekuletea video ya magoli yote ya Chelsea vs Westbrom na matokeo mengine ya Epl hapa

on

article-0-1B66A68000000578-323_636x382-1Ni game nyingine ambayo ilitazamwa na wengi usiku wa February 11 2014 ambapo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Ivanovic ambapo mpaka game inakwisha ilikua West Brom 1-1 Chelsea.

MATOKEO YA MECHI NYINGINE

Cardiff City 0-0 Aston Villa
West Ham 2-0 Norwich City
Hull City 0-1 Southampton

Tupia Comments