Habari za Mastaa

Video: Watangazaji CloudsFM na Wasanii wa bongofleva walivyofanya usafi Dec 9 soko la Tandale.

on

Dec 9 2015 Wasanii wa bongofleva pamoja na Watangazaji, Watayarishaji wa vipindi na watu wengine kutoka CloudsFM Dar es salaam waliungana kufanya usafi kwenye soko la Tandale kama ilivyoagizwa na Rais Magufuli usafi kufanyika siku ya uhuru December 9, hii video hapa chini itakuonyesha kila kitu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments