Huyu ni mchekeshaji Mkenya anaitwa Owago ambae kwenye dakika hizi nne anaelezea vitu mbalimbali vinavyohusiana na ununuzi wa kinga (condom) ambavyo vinatokea kwa Wanaume na wauzaji wenyewe.
Kutana na mchekeshaji wa Kenya akizungumzia tabu wanayoipata watu kununua kinga (condom)
Leave a comment
Leave a comment