Habari za Mastaa

VIDEO: Msanii AKA kutokea South Africa ametua Bongo, kazungumza haya

on

Msaanii maarufu barani Afrika AKA amewasili nchini Tanzania ikiwa ni sehemu ya Birthday Tour yake ambayo amekuwa akifanya kwa kuzunguka nchi mbalimbali na AKA baada ya kufika Tanzania alipata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari na kuongea haya.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama AKA akizungumza.

VIDEO: Sakata la Baraka kukamatwa na Polisi, aliyemfungulia mashtaka kafunguka

Soma na hizi

Tupia Comments