Burudani

HATIMAYE! Ommy Dimpoz kaelezea picha na mama Diamond aliyowahi kuipost

on

Mwimbaji Ommy Dimpoz amezungumza kwenye EXCLUSIVE na Ayo TV mara baada ya kushuka kwenye stage ya FIESTA Mwanza na miongoni mwa aliyoyajibia ni pamoja na style yake ya nywele kufananishwa na Diamond, kuitwa Polisi na kuifuta picha akiwa na mama Diamond kwenye Instagram.

Ulipitwa na hii? FIESTA MWANZA: Ben Pol na tetemente lenye surpise ya Dudubaya

Soma na hizi

Tupia Comments