February 1, 2019 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji alisimama Bungeni kujibu hoja za baadhi ya Wabunge wakati wa kuhitimisha hotuba za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)ambapo alihoji ni kwanini wapinzania wanapopewa ufafanuzi wa tuhuma za upotevu wa Trilion 1.5 wanaibuka na hoja zisizo na mantiki kwa taifa.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari….
Usiyoyajua kuhusu madai ya upotevu wa Trilion 1.5 zinazotajwa na Zitto Kabwe