Habari za Mastaa

Diamond Platnumz na Davido kwenye video moja? sehemu ya mzigo wa Nigeria iko hapa

on

Screen Shot 2014-01-03 at 10.48.17 AMAlipata pongezi nyingi sana pale alipofanya fasta kupanda ndege na kumfata Davido kwao Nigeria baada ya staa huyu kuja kwenye Fiesta 2013 ambapo alikubali kufanya kolabo… Diamond ndio akamfata na kufanya nae video ambayo ni remix ya ‘Number one’

Video hii imepitia mikononi mwa producer bora na maarufu Afrika ambae ni mzaliwa wa Nigeria Clarence Peters na sasa tunaambiwa video inatoka soon, unaweza kutumia muda wako kutazama kipande kidogo cha video yenyewe hapa chini mtu wangu na utoe ya moyoni.

Tupia Comments