Breaking News

BREAKING: Rais Magufuli aitangaza Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji

on

Rais Dkt John Pombe Magufuli ameipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018 katika sherehe ya miaka 54 ya Muungano . Ameagiza michakato ya kisheria ianze mara moja na pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma ndiye atakuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma. 

ONYESHO LA MAKOMANDOO WA TZ 2018

Soma na hizi

Tupia Comments