Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Diamond Platnumz alivyotoa shukrani zake kwa support ya Watanzania MTV MAMA 2015… (Pichaz)

on

Screen Shot 2015-07-22 at 4.17.56 PM

 

Ilikuwa furaha kumwona Diamond Platnumz akiwasili TZ kutokea South Africa akiwa na Tuzo ya MTV MAMA 2015 mkononi, ushindi huo sio kitu kidogo kwa sababu ni wasanii wachache sana waliopata bahati ya kuibuka na ushindi huo !!

Leo amepata nafasi ya kuongea na Watanzania na kutoa shukrani zake kwa support ya nguvu aliyopata mpaka akafanikiwa kuibuka na ushindi huo… ninazo pichaz hapa wakati Diamond akitoa shukrani zake leo Julyu 22 2015 Dar es Salaam.

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.03 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.14 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.21 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.30 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.38 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.48 PM

Daimond pamoja na Managers wake, Babu Tale, Salam na Mkubwa Fella.

Screen Shot 2015-07-22 at 4.19.00 PM

Screen Shot 2015-07-22 at 4.19.15 PMNitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

 

Tupia Comments