Habari za Mastaa

Diamond Platnumz kaileta video ya ‘Utanipenda’ inayosomeka kiingereza.. (+Video)

on

Kwa sababu muziki unatoboa mipaka kimataifa, kuna haja hata watu wetu wa Ulaya na Marekani nao wafahamu tafsiri ya kinachoimbwa ukiachana na fleva ya mdundo wenyewe.

Saa chache zimepita toka Diamond Platnumz aachie ngoma ya ‘Utanipenda‘, lakini kingine kizuri ambacho amekifanya ni kuweka pia wimbo huo ukiwa na mashairi ya kiingereza (subtitle) kwa hiyo mbali ya fleva ya wimbo, kama hujui kiswahili basi kuna subtitle mwanzo mwisho inayotafsiri mashairi ya wimbo huo.

Unaweza kuplay hapa kuucheki mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments