Top Stories

Siri ugonjwa wa Dengue hii hapa, Serikali yafunguka “Mgonjwa anapungukiwa maji” (+video)

on

Tunayo stori kutokea Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto ambapo imezungumzia jinsi ya kujitibu na kujinga na ugonjwa wa Dengue.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mganga Mkuu wa Serikali Prof.Mohammed Kambi amesema magonjwa mengi yanayosababishwa na virusi ikiwemo wa Dengue kunakuwa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu labda Chanjo.

KAMISHNA AOMBWA KUWAPA VYETI WAFUNGWA WANAPOMALIZA KIFUNGO

Soma na hizi

Tupia Comments