AyoTV

Show ya Diamond Platnumz Znz, amuongelea Zari jukwaani na dongo la Insta kwa dakika 2 (video)

on

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz jana usiku alifanya show Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan ambapo pamoja na kutumbuiza, alimuongelea kwa dakika mbili Mama watoto wake Zari The Boss Lady na jinsi kuzaa na Hamisa Mobetto kulivyomtesa.

Diamond alisema “Hapa katikati yalitokea mambo mengi shetani akaingia katikati, nikaona Mtoto wa Kiganda kacharuka na niliona naelekea kulikosa jiko moja kwa mojamengine aliyoyasema yapo kwenye hii video fupi hapa chini

“Nimeviona vya Diamond kuliko yeyote” – HAMISA MOBETTO…. tazama full video kwa kubonyeza play hapa chini

MWANZO MWISHO: Tazama hapa chini party ya Mtoto wa Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz… bonyeza play kujionea

VIDEO: Hamisa Mobetto akicheza nani kama mama kwenye party ya mtoto wake na Diamond… bonyeza play hapa chini kujionea mwanzo mwisho

UNATAKA KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. fanya jambo moja tu rahisi… BONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER <<<< na ili kupata BREAKING NEWS zote kwa njia ya video ingia HAPA kisha bonyeza SUBSCRIBE

Soma na hizi

Tupia Comments