Habari za Mastaa

Timbulo katuletea hii video mpya akiwa na Baraka The Prince ‘Usisahau’

on

Msanii Timbulo leo Nov 18,  2016  ametosogezea hii video ya single mpya iitwayo ‘Usisahau’ aliyomshirikisha Baraka The Prince.

Ukishamaliza kuitazama hapa sio mbaya ukituachia na comment yako ili wakali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mdogo wa Mzee Yusuf baada ya kundi la Jahazi Modern Taarab kuvunjika

Soma na hizi

Tupia Comments