Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: WCB wamkamata anayetukana Instagram kwa kutumia jina la Shilole
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > VIDEO: WCB wamkamata anayetukana Instagram kwa kutumia jina la Shilole
Habari za Mastaa

VIDEO: WCB wamkamata anayetukana Instagram kwa kutumia jina la Shilole

November 18, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Mitandao ya kijamii imetoa uwanja mpana wa kila aliyejiunga kutoa maoni yake au kuandika chochote kwenye page yake au page za wenzake ambapo uhuru huu umepelekea tuone wengine wakitukanwa au kuandikwa vibaya.

Asubuhi ya November 18 2016 Meneja wa Diamond Platnumz na Tiptop Connection Babu Tale amethibitisha kukamatwa kwa kijana wa Kitanzania ambaye anatuhumiwa kutoa matusi kupitia Instagram.

Tale ameandika ‘Kama unajua ulishawahi kumtuma huyu dogo atukane watu ujue sheria ipo mlangoni kwako na huyu atakua mfano, hapa alikua anawataja waliomtuma…… serikali ikiamua hata ujifiche wapi utakamatwa tu so endeleeni kutukana watu msiowajua, anajiita Shilole Kiuno’

Mwanachama mwingine wa WCB aliyetoa maoni yake kuhusu hii ni dancer wa Diamond Mose Iyobo >>> ‘Huyu ndio mwenye account ya @Shilolekiuno_official mavuno ya matusi yake ni pingu alikua anajiona mjanja mwenyewe leo kayakanyaga‘

‘Muone anavyotia huruma sema amekamatwa wakati huruma amesafiri ndio kichwa kinapomuuma na mpaka aje kurudi huyu Huruma Dar imeshakua ya Madereva sio Makonda tena‘ – Mose Iyobo

‘Kama ulimtuma huyu atukane watu, atakua mfano, hapa anawataja waliomtuma, endeleeni kutukana msiowajua, anajiita Shilole kiuno’-BabuTale pic.twitter.com/YY6oKopXdl

— millard ayo (@millardayo) November 18, 2016


.screen-shot-2016-11-18-at-11-20-31-am

VIDEO: Ni comment gani mbaya imewahi kumuumiza Diamond Platnumz? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Diamond Platnumz alivyomuita Zari kwenye stage ya White Party tazama hii video hapa chini

USIPITWE NA HABARI !!!!! Kazi ya Millard Ayo ni kukusogezea karibu habari zote kuanzia za Mastaa, burudani, michezo, siasa na mengine ya mtaa, jiunge na mimi kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwa jina hilohilo la @millardayo kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: bongoflevanews
Millard Ayo November 18, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Maneno ya Rammy Galis juu ya kuvunjika uhusiano wake na Agness Masogange
Next Article Timbulo katuletea hii video mpya akiwa na Baraka The Prince ‘Usisahau’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?