Mke aliehukumiwaga kunyongwa na Mumewe kuhukumiwa miaka 30 jela kimakosa baada ya kukata Rufaa kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu nakubaini alifungwa kimakosa huku akiwa ashatumikia miaka 20 jela Mahakama imeamuru walipwe fidia.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Mke amesema alihukumiwa kimakosa kwa kosa la kuhusika na mauaji ya dereva bodaboda aliyepanda pikipiki yake.