Uzito wa majina waliyonayo unakufanya uone kama ukikosa show hata kusimuliwa itakua haina maana kwa sababu mbali na wasanii watakaokuwepo nimeambiwa usiku huu ni maalum pia hata kwa Marafiki.
Yes.. kituo ni Escape One leo Mei 16 2015 mtu wangu.. mastaa wa Tanzania watakua wakishare jukwaa kwa uchache tu nimeambiwa Ben Pol, Bob Junior na Niva wa Bongo Movie ni miongoni mwa mastaa wachache kati ya wengi watakaokuwepo halafu kama mpenzi wa muziki wa taarabu Mzee Yusuph atakuhusu usiku huu.
Mshereheshaji.. MC mwenyewe atakuwa Petit Man.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.