Habari za Mastaa

Vurugu za Afrika Kusini zapelekea Fid Q kuahirisha show yake (+video )

on

Mkali kutokea kwenye game ya Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q amezungumza sababu zilizopelekea yeye kuhairisha show yake ya MTV BASE SHOW CASE aliyokuwa anatarajia kuifanyika nchini Afrika kusini September 6 2019.

Fid Q amesema vurugu zinazoendela Afrika kusini kuhusu wageni zimechangia yeye kuhairisha kwenda kufanya show nchini humo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama zaidi alichozungumza Fid Q.

Bidhaa zenye brand feki ya Jux zakamatwa Kariakoo (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments