Aliyekuwa mpenzi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake lakini bado anampenda na kumthamini.
Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae ???????????? na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – ???? – oh yes nampenda na nina mpenzi tunapenda ! So what?????‘aliandika
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFB YOUTUBE.