Burudani

NEW YORK! Swizz Beatz kamtumia salamu Diamond Platnumz

on

Baada ya post ya mwanamitindo Flaviana Matata akiwa na staa wa Marekani Swizz Beatz ambaye alituma salamu kwa Diamond Platnumz naye Diamond kuiweka video hiyo kwenye Instagram kisha Swizz Beatz kumjibu Diamond Platnumz kupitia instagram.

Ulipitwa na hii? ZARI NA DIAMOND: video zao leo… mahaba niue

Soma na hizi

Tupia Comments