Top Stories

UNAWEZA MWAGA MACHOZI: Mlemavu Miaka 30 muonekano kama Mtoto, Dr. Tulia kamhurumia

on

Salome Msomba mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni mkazi wa Ilemi mkoani Mbeya ni mlemavu wa viungo na hawezi hata kutembea pekeyake na kujitafutia riziki hadi apate msaada wa kubebwa mgongoni na mume wake ambaye ni Timotheo Mwazembe.

Taasisi ya Tulia Trust inayomilikiwa na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson imepata nafasi ya kugonga hodi nyumbani kwa Salome na mumewe Timotheo lengo likiwa ni kukabidhi msaada wa magunia sita ya mkaa na pesa taslim laki moja na nusu ikiwa ni siku kadhaa tu tangu wahusika kuomba msaada kutoka kwa kiongozi huyo.

HALIMA MDEE ALIVYOTINGA KUHOJIWA BUNGENI, KAMATI YASHINDWA KUSEMA NENO

Soma na hizi

Tupia Comments