Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Faida 6 za Konokono akiliwa ambazo huenda ulikuwa huzifahamu
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Faida 6 za Konokono akiliwa ambazo huenda ulikuwa huzifahamu
Top Stories

Faida 6 za Konokono akiliwa ambazo huenda ulikuwa huzifahamu

October 14, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Konokono ni moja kati ya viumbe wenye mwendo wa taratibu sana duniani, tofauti na hilo zipo jamii ambazo wanakula nyama ya Konokono na jamii nyingine hazitaki hata kuamini kwamba kuna watu kwenye dunia hii wanakula Konokono.

Hata hivyo, watafiti hasa wa afya na tiba ya binadamu wamechunguza na kugundua kuwa Konokono akipikwa na kuliwa kama chakula cha kawaida ana virutubisho ambavyo ni faida kubwa kwa binadamu kwa kuponya magonjwa mbalimbali.

Kati ya virutubisho vinavyopatikana katika nyama ya Konokono ni vitamin na protini nyingi, asidi za amino na vingine vingi.

1. Huongeza ufanisi kwenye Ubongo

Konokono anasifika kwa kuwa na mafuta yenye kiambata cha Omega 3 ambacho husaidia katika maendeleo ya ubongo na kumbukumbu hususani kwa watoto kwasababu husaidia uboreshwaji wa seli za mwili.

Image result for brain

2. Chanzo kikubwa cha Vitamin

Kiumbe hiki kina utajiri mkubwa wa vitamini A, E, B1, B3, B6 na B12. Vitamini A hufanya kazi ya kuboresha afya ya macho lakini pia Omega 3 inayopatikana kwenye konokono huwa na msaada wa kiafya kwa wamama wajawazito.

Image result for pregnant woman eating snails

3. Huboresha ukuaji wa mifupa

Konokono pia anatajwa kuwa na wingi wa madini ya magnesium ambayo huratibu mifumo yote ya ukuaji na uboreshwaji wa mifupa mwilini.

Image result for kids bones develop

4. Huboresha afya ya moyo

Kiumbe huyu pia anaripotiwa kuwa na Potasium nyingi na sodium kidogo jambo ambalo linaleta uwiano mzuri wa madini ambayo yanaweza kuweka sawa viwango vya msukumo wa damu ikiwa ni pamoja na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo, kiharusi na figo.

Image result for heart health

5. Hupambana na Saratani

Pia moja ya vitu ambavyo nyama ya konokono hufanya mwilini ni kupambana na saratani. Kinga hii inapatikana katika uteute wa konokono ambao ndio huongeza kinga ya mwili kupambana na saratani za aina zote.

Image result for snail helping to fight cancer

6. Huboresha uzalishwaji wa seli

Konokono pia anasifika kwa kuwa na madini ya chuma ambayo husaidia sana katika kuzalisha na kuboresha seli za mwili, zoezi ambalo linafanyika kila siku.

Image result for improvement of body cells

Uliikosa hii? MISS SINZA kaongea ishu ya kuwa mapenzini na DIAMOND inayosambaa

You Might Also Like

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

TAGGED: TZA HABARI, utafiti
Admin October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?
Next Article Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?