Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”
MixTop Stories

Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”

October 14, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wakinamama wameshauriwa kuzingatia kuwalaza watoto wao kwa mgongo yani chali na sio kifudifudi kama ilivyozoeleka kwa wanawake wengi ili kupunguza hatari ya matatizo ya vifo vya ghafla vya watoto yaani Sudden Infant Death Syndrome ‘SIDS’.

Kufuatia taarifa iliyo ripotiwa na CNN kuhusu suala hili siku za karibuni, inashauriwa kuwa watoto walio na umri wa chini ya mwaka mmoja ni vizuri wakalazwa chali kwani wako kwenye hatari ya kukosa hewa vizuri au kupaliwa pindi wanapokua wamelazwa kifudifudi na wakapoteza maisha.

Imeripotiwa kuwa kwa mwaka 2015 zaidi ya watoto 1600 nchini Marekani walikufa vifo vya ghafla kwasababu kulazwa kwa namna hiyo.

Uliiona hii? SERIKALI: ‘Hakuna mahali JPM amekataa kutekeleza ongezeko la mishahara’

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

TAGGED: Facebook Twitter na Insta, habari daily, habari za afya, Marekani, TZA HABARI, utafiti
Admin October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Faida 6 za Konokono akiliwa ambazo huenda ulikuwa huzifahamu
Next Article Utafiti: Vitu 3 vitakavyoifanya Afrika iilishe dunia nzima ifikapo 2050
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?