Habari za Mastaa

Baada ya Blac Chyna kuchora tattoo mkononi, Future kayaandika haya kwenye Twitter!

on

Baada ya Blac Chyna kuweka headlines nyingi na tattoo mpya ya jina la Future, rapper huyo ameamua  kuongea kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kile ambacho bado anaamini kuwa ni uzushi.

Kupitia page yake ya Twitter, Future kaamua aweke wazi kuwa yeye yupo single na wala hawazi yale ambayo watu wengi wanafikiria kwani yupo bussy na muziki wake, na kufanya mambo yanayompa furaha.

CHYNAA

Mwezi uliopita, Future na Blac Tyga walikuwa wakionekana pamoja kwenye maeneo mbalimbali, kitendo kilicho anzisha maneno mengi kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao ni wapenzi, na licha ya Blac Chyna kujichora tattoo ya Future mkononi rapper huyo amedai yupo bussy na muziki wake na kuwaridhisha mashabiki wake na kazi zake.

Hizi ni baadhi ya #Tweets nilizoweza kuzinasa kupitia Twitter ya Future

ooops

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments