Sheria iliyoianzisha Mamlaka hii imetamka kazi za TCRA kama zinavyoainishwa hapa chini: –
1. Kutoa leseni, kuongeza muda wa leseni na kufuta leseni pale ambapo masharti ya leseni husika hayakufuatwa;
2. Kuweka viwango kwa bidhaa na huduma zinazosimamiwa;
3. Kuweka viwango, kanuni na masharti ya kusambaza bidhaa na huduma zinazosimamiwa;
4. Kudhibiti viwango na bei ya jumla ya mawasiliano kati ya mitandao.
MCHUNGAJI MGOGO KATIKA UBORA WAKE “PASUA KICHWA NI MMEO, UNAWEKA MISUMARI NA BOKO HARAMU”