Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

AyoTV

VIDEO: Shangwe za Ngorongoro Heroes baada ya Ubingwa wa CECAFA U-20

on

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana U-20 Ngorongoro Heroes wameibuka Mabingwa wa CECAFA U-20 kwa kuifunga Kenya U-20 goli 1-0, baada ya Ubingwa huo uwanjani Jinja nchini Uganda hali ilikuwa hivi kwa wachezaji, mashabiki kwa furaha ya Ubingwa.

 

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments