AyoTV

GABON: Full Time ya Serengeti Boys vs Niger leo May 21

on

Timu ya Taifa ya Tanzania U-17 Serengeti Boys leo iliingia tena uwanjani huko Gabonkwenye michuano ya  vijana chini ya umri wa miaka 17 vs Niger ikiwa ni game ambayo ilikua inaamua kama Serengeti Boys wabaki kwenye michuano hiyo au waondoke.

Taarifa ikufikie tu mpaka game inaisha matokeo yamekua ni Niger 1 – 0 Serengeti Boys ambapo kwa matokeo hayo Serengeti Boys wameondolewa kwenye michuano hiyo ya AFCON 2017 kutokana na goli hilo lililofungwa kwenye dakika ya 40.

ULIPITWA? Sababu za Issa wa Serengeti Boys kurudishwa Tanzania, play hapa chini kupata full stori

Soma na hizi

Tupia Comments