AyoTV

Uamuzi wa Simba SC kuhusu kudaiwa kugoma kwa Mkude, Erasto, Chama na Gadiel

on

Uongozi wa Club ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuwa itawahoji wachezaji wake Jonas Mkude, Erasto Nyoni, Clotous Chama na Gadiel Michael kwa kukosekana kwao katika micheoz ya Ligi Kuu ya kanda ya ziwa dhidi ya Biashara United na Kagera Sugar.

Simba SC imetangaza kuwa itawahoji wachezaji hao lakini kwa upande wa kukosekana kwa Francis Kahata walimpa ruhusa ya kwenda kwao Kenya kushughulikia matatizo ya kifamilia, hivyo hajagoma kama baadhi ya vyombo vya habari au mitandao ya kijamii ilivyoripoti.

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments