AyoTV

VIDEO: ‘Katika hili sheria ichukue mkondo wake’ -Mbunge Omari Kigua

on

Headlines zinazohusu Vyeti feki bado zimeendelea kuchukua nafasi katika sehemu mbalimbali Tanzania ambapo leo May 15, 2017 Mbunge wa Kilindi Omari Kigua alisimama Bungeni Dodoma akimshauri Waziri wa Elimu kuunda Tume ya kuchunguza chanzo cha watuhumiwa wa vyeti hivyo.

VIDEO: Mabibi na Mabwana MISS IFM 2017 kapatikana (FULL VIDEO) 

Soma na hizi

Tupia Comments