Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: FULL LIST: Majina ya mastaa wanaowania tuzo za BET 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > FULL LIST: Majina ya mastaa wanaowania tuzo za BET 2017
Habari za Mastaa

FULL LIST: Majina ya mastaa wanaowania tuzo za BET 2017

May 15, 2017
Share
5 Min Read
SHARE

Kituo cha TV cha Black Entertainment kutoka New York Marekani kimetangaza majina ya mastaa wanaowania BET Awards mwaka 2017 huku Mastaa Beyonce na Bruno Mars wakitajwa kwenye vipengele vingi.

Star mwimbaji Beyonce ametajwa kwenye category 7 za BET Awards, akifatiwa na Bruno Mars ambaye ametajwa kuwania tuzo tano. Tuzo hizi zitatolewa June 25, 2017 kwenye ukumbi wa Microsoft Theatre jijini Los Angeles.

Wanaowania tuzo hizi kwenye vipengele 19 watachuana kupitia category za Filamu, Muziki na Michezo huku wakipigiwa kura na Kamati ya Tuzo, wadau wa burudani na mashabiki.

Nimekuwekea hapa chini FULL LIST ya BET Awards 2017

Best Female R&B/Pop Artist
BEYONCÉ
KEHLANI
MARY J. BLIGE
RIHANNA
SOLANGE

Best Male R&B/Pop Artist
BRUNO MARS
CHRIS BROWN
THE WEEKND
TREY SONGZ
USHER

Best Group
2 CHAINZ & LIL WAYNE
A TRIBE CALLED QUEST
FAT JOE & REMY MA
MIGOS
RAE SREMMURD

Best Collaboration
BEYONCÉ FT. KENDRICK LAMAR – FREEDOM
CHANCE THE RAPPER FT. 2 CHAINZ & LIL WAYNE – NO PROBLEM
CHRIS BROWN FT. GUCCI MANE & USHER – PARTY
DJ KHALED FT. BEYONCÉ & JAY Z – SHINING
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
RAE SREMMURD FT. GUCCI MANE – BLACK BEATLES

Best Male Hip-Hop Artist
BIG SEAN
CHANCE THE RAPPER
DRAKE
FUTURE
J. COLE
KENDRICK LAMAR

Best Female Hip-Hop Artist
CARDI B
MISSY ELLIOTT
NICKI MINAJ
REMY MA
YOUNG M.A.

Video of the Year
BEYONCÉ – SORRY
BIG SEAN – BOUNCE BACK
BRUNO MARS – 24K MAGIC
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
SOLANGE – CRANES IN THE SKY

Video Director of the Year
BENNY BOOM – KEHLANI “CRZY”
BRUNO MARS & JONATHAN LIA – BRUNO MARS “THAT’S WHAT I LIKE”
DIRECTOR X – ZAYN MALIK “LIKE I WOULD”
HYPE WILLIAMS – TYGA “GUCCI SNAKES FT. DESIIGNER”
KAHLIL JOSEPH & BEYONCÉ KNOWLES-CARTER – BEYONCÉ “SORRY”

Best New Artist
21 SAVAGE
CARDI B
CHANCE THE RAPPER
KHALID
YOUNG M.A.

Album of the Year
24K MAGIC – BRUNO MARS
4 YOUR EYEZ ONLY – J. COLE
A SEAT AT THE TABLE – SOLANGE
COLORING BOOK – CHANCE THE RAPPER
LEMONADE – BEYONCÉ

Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award
CECE WINANS – NEVER HAVE TO BE ALONE
FANTASIA FT. TYE TRIBBETT – I MADE IT
KIRK FRANKLIN FT. SARAH REEVES, TASHA COBBS & TAMELA MANN – MY WORLD NEEDS YOU
LECRAE – CAN’T STOP ME NOW (DESTINATION)
TAMELA MANN – GOD PROVIDES

Best Actress
GABRIELLE UNION
ISSA RAE
JANELLE MONÁE
TARAJI P. HENSON
VIOLA DAVIS

Best Actor
BRYSHERE Y. GRAY
DENZEL WASHINGTON
DONALD GLOVER
MAHERSHALA ALI
OMARI HARDWICK

YoungStars Award
ACE HUNTER
CALEB MCLAUGHLIN
JADEN SMITH
MARSAI MARTIN
YARA SHAHIDI

Best Movie
FENCES
GET OUT
HIDDEN FIGURES
MOONLIGHT
THE BIRTH OF A NATION

Sportswoman of the Year Award
GABBY DOUGLAS
SERENA WILLIAMS
SIMONE BILES
SKYLAR DIGGINS
VENUS WILLIAMS

Sportsman of the Year Award
CAM NEWTON
LEBRON JAMES
ODELL BECKHAM JR.
RUSSELL WESTBROOK
STEPHEN CURRY

Centric Award
FANTASIA – SLEEPING WITH THE ONE I LOVE
KEHLANI – DISTRACTION
MARY J. BLIGE – THICK OF IT
SOLANGE – CRANES IN THE SKY
SYD – ALL ABOUT ME
YUNA – CRUSH FT. USHER

Coca-Cola Viewers’ Choice Award
BEYONCÉ – SORRY
BRUNO MARS – 24K MAGIC
DRAKE – FAKE LOVE
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
RAE SREMMURD FT. GUCCI MANE – BLACK BEATLES
THE WEEKND FT. DAFT PUNK – STARBOY

Best International Act: Europe
BOOBA (France)
MHD (France)
CRAIG DAVID (UK)
EMELI SANDÉ (UK)
GIGGS (UK)
SKEPTA (UK)
STORMZY (UK)
WILEY (UK)

Best International Act: Africa
AKA (South Africa)
BABES WODUMO (South Africa)
DAVIDO (Nigeria)
NASTY C (South Africa)
STONEBWOY (Ghana)
TEKNO (Nigeria)
WIZKID (Nigeria)
MR EAZI (Nigeria)

VIDEO: Vanessa Mdee akizungumzia utoaji wa tuzo za BET, Tazama hapa chini.

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: BET 2017, tuzo
Admin May 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Katika hili sheria ichukue mkondo wake’ -Mbunge Omari Kigua
Next Article VIDEO: Siku tatu alizotoa Meya kwa Mkuu wa Mkoa Arusha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?