Top Stories

Neno la Askofu Gwajima baada ya Mohammed Dewji kupatikana. (+video)

on

Askofu Josephat Gwajima leo October 21 2018 kwenye ibada ya Jumapili amegusia kuhusiana na kutekwa kwa Mfanyabiashara Bilionea Mohammed Dewji ambae amepatikana usiku wa kuamkia Jumamosi October 21.

Askofu Gwajima leo amesema “Unakumbuka vizuri wiki iliyopita tulimuombea Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, tukaombea pia Spika wa Bunge na Wenyeviti wa kamati za Bunge na Wabunge wote, tukamuombea Jaji Mkuu na Waheshimiwa Majaji na Wasajili wa Mahakama zote”

Tukamuombea pia Ndugu yetu Mo kwamba Mungu amrudishe……..” bonyeza play hapa chini kumtazama Askofu Gwajima akiongea zaidi

VIDEO: MO DEWJI APATIKANA, HUYU HAPA AKIONGEA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

BREAKING: TAZAMA GARI LILILOMTEKA MOHAMMED DEWJI LILIPOTELEKEZWA

Soma na hizi

Tupia Comments