Habari za Mastaa

Harmonize kamuimba Sarah, amuomba msamaha afunguka ‘Nilizingua sana’

on

NI Headlines za star kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amemuimba aliekuwa mpenzi wake Sarah.Kupitia wimbo huo staa huyo ameonekana akimuomba msamaha kwa yale yaliyotokea katika uhusiano wao ikiwemo kuzaa na mwanamke mwingine pasipo ya yeye kufahamu.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu alichoimba Harmonize kwa aliekuwa mkewe Sarah.

Tupia Comments