Michezo

Kama uko Mwanza na uliisubiri Ndondo Cup 2017, kuna hii ya kufahamu

on

Michuano ya Ndondo Cup 2017 baada ya kufikia tamati upande wa Dar es Salaam na Misosi FC kutangazwa mabingwa wapya…sasa shughuli inahamia Mwanza ambako rasmi michuano hiyo itaanza September 20, 2017 ambapo itashirikisha timu 16 na michezo yote itachezewa Uwanja wa Nyamagana katikati ya Jiji.

Play kwenye hii video kuna kila kitu!!!

Kama ni shabiki wa soka la mchangani na upo Mwanza Ndondo Cup inakuja!!!

Soma na hizi

Tupia Comments