Habari za Mastaa

HATIMAYE! Siku 38 baada ya kujifungua, Linah kamweka hadharani mwanawe

on

Siku 38 tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah kujifungua mtoto wa kwanza July 25, 2017 kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 amepost kwenye Instagram yake picha ya mtoto huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi kufanya hivyo.

Katika picha hiyo Linah ameandika>>>“Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess….. @paristraceyparis@kids_cityshopping” – Linah

SHILOLE KAPOSWA! Aongea kuhusu kuishi na mtoto wa Uchebe na Mwanamke anaelalamika kaibiwa

AFTER PARTY! Mastaa wa Bongo wakisherehekea ujio wa FIESTA 2017

Soma na hizi

Tupia Comments