HekaHeka

Kuhusu mwalimu aliyekua anamfundisha mwanafunzi wa darasa la 3 masomo ya kidato cha 3,sikiliza Hekaheka ya leo hapa.

By

on

On-Air-LightHivi ni vijimambo ambavyo vinatokea mara kwa amara kwenye makazi yetu,kutana na huyu baba mzazi ambaye ni mwalimu alipokuwa akimfundisha mwanae masomo ya kidato cha tatu wakati mwanae yuko darasa la tatu,sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Masasi.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments