Sio kila anaetazama hii post anao uwezo wa kujenga nyumba za namna hii ila kua uwezekano na nyumba ndogo ya saizi yako ukaweza kuibadilisha kwenye sehemu flani baada ya kutazama mpangilio wa hizi za kisasa kuanzia chumbani, sebuleni, garden, taa zilivyowekwa, jikoni na sehemu nyingine.
Hii nyumba ya kwanza hapa chini ipo Slovakia.
Nyumba namba 2 ndio inayofata na ilijengwa mwaka 2012 Sao Paulo Brazil.
Kama umependa kukutana na hizi picha millardayo.com naomba niachie comment yako ili niwe naziweka mara tatu kwa wiki mtu wangu.
Unataka vitu kama hivi visikupite? ungana na mimi kwenye twitter instagram na facebook @millardayo uwe wa kwanza kupata kila ninachodondosha hapa manake nitakua nakutumia huko mtu wangu.