AyoTV

Rammy Garis kaonesha ushahidi wanaopinga thamani ya gari lake Tsh milioni 40

on

Baada ya kuibuka kwa gumzo kuhusiana na msanii wa Bongo Movir Rammy Galis kutangaza thamani ya gari lake aina ya Crown kuwa lina thamani ya Tsh milioni 40 za kitanzania, leo kupitia AyoTV amefunguka kuhusiana na thamani ya gari hilo.

Rammy ameeleza kuwa thamani ya gari hilo bila ushuru amenunua Tsh milioni 22 za kitanzania na ukijumlisha malipo ya ushuru ndio limefikia thamani ya Tsh milioni 40, pili gari yake kanunua gharama ya juu kwa kuwa imetembelewa Kilometa chache ukilinganisha na nyingine.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments