Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Kocha wa Taifa Stars “Huo Uzoefu ataupata wapi? ni mtanzania ana haki”

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani leo ilicheza mchezo wake wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za CHAN 2020 dhidi ya Kenya uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Taifa Stars wameshindwa kuitumia faida ya kucheza uwanja wa nyumbani na kujikuta wakilazimishwa sare 0-0, baada ya mchezo kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije aliuliwa kuhusiana na kumuanzisha Lyanga ambaye indaiwa kuwa hana uzoefu.

“Kama unasema (Lyanga) anakosa uzoefu wa mechi na Nado? sasa uzoefu atapata wapi kama hachezi ni mtanzania ana haki ya kucheza usipomuamini atapata wapi uzoefu akiwa nyumbani?”>>>> Etienne Ndairagije

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

Soma na hizi

Tupia Comments