Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

FA masaa Marcos Alonso wa Chelsea ajitetee

on

Club ya Chelsea inawezekana ikamkosa beki wake Marcos Alonso katika mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la FA weekend hii dhidi ya Southampton kutokana na chama cha soka England FA kuwa na mpango wa kumuadhibu beki huyo.

FA imempa muda beki Marcos Alonso hadi Jumatano saa 20:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki aeleze kwa nini hasiadhibiwe kwa kitendo chake cha kumchezea faulo inayodaiwa kuwa ni makusudi Shane Long wa Southampton wakati wa mchezo dhidi yao.

Beki wa Chelsea Marcos Alonso aliingia matatizoni Jumamosi ya April 14 2018 katika mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Southamton uliyomalizika kwa Chelsea kupata ushindi wa magoli 3-2, baada ya kumchezea faulo  Shane Long.

ALL GOALS: Simba vs Mbeya City April 12 2018, Full Time 3-1

Soma na hizi

Tupia Comments