Habari za Mastaa

Khaligraph Jones ndani ya list ya Rappers wakali Afrika

on

Rapper Khaligraph Jones kutokea +254 Kenya ametajwa katika List ya Wasanii Bora wa Hip Hop Afrika wa mwaka 2018 katika jarida la TINA Magazine ambapo ameshika nafasi ya 7 ikiwa list hiyo inaongozwa na Nasty C kutokea Afrika Kusini.

Khaligraph Jones amekuwa Rapper pekee kutokea Afrika Mashariki aliyetajwa katika list hiyo. Rapper Nadia Nakai ndio msichana pekee ambaye amesimama katika list hiyo ilijoyaa Rappers wanaume kutokea Afrika Kusini. Ghana na Nigeria.

Kupitia Instagram Khaligraph Jones >>>”From South Africa 🇿🇦. EAST AFRICA WE HOLDING IT DOWN 🔥🔥🔥🔥2019 nothing But International Hits #Respecttheogs #mrinternational#playkemusic

IMEFICHUKA!! MCHUNGAJI AMCHARUKIA MAMA AMBER RUTTY “NATUMAGA HELA YA MATUMIZI”

Soma na hizi

Tupia Comments