Habari za Mastaa

Pichaz 10 kutoka kwenye stage ya tamasha la Instagram Party, Ben Pol, Roma na Robelto Amarula ndani …

on

Headlines ya zile stori za tamasha la Instagram litakuwaje kwa mwaka 2015 zilizidi kuchukua nafasi, kuhusu mastaa gani wataperfom namna ambavyo itakuwa, muda ulifika na wasanii tukawajua baada ya list kutoka, tamasha la Instagram Party mwaka 2015 lilipambwa na Robelto Amarula staa wa muziki kutoka Zambia anayetamba na heat single yake ya Amarula.

DSC_0131

December 11 Robelto alifanya show kali Escape One Mikocheni huku akipewa sapoti na mkali wa R&B Ben Pol na mkali wa Hip Hop Roma Mkatoliki. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 10 za Show ya Instagram Party.

DSC_0092

DSC_0134

DSC_0142

DSC_0086

DSC_0073

DSC_0035

DSC_0011

DSC_0002

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments