Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: “Majani yenye sumu Ngorongoro yanaua wanyama kuliko hata magonjwa”-Waziri Makamba
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: “Majani yenye sumu Ngorongoro yanaua wanyama kuliko hata magonjwa”-Waziri Makamba
AyoTVMix

VIDEO: “Majani yenye sumu Ngorongoro yanaua wanyama kuliko hata magonjwa”-Waziri Makamba

April 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba ametembelea mikoa mbalimbali Tanzania katika muendelezo wa ziara yake ya mazingira aliyoianza March 13 2017.

Moja kati ya sehemu alizotembelea Waziri Makamba ni Ngorongoro Crater ambako alijionea namna Bonde hilo maarufu lilivyokuwa na changamoto mbalimbali ikiwepo kuota kwa majani yenye sumu ambayo yanahatarisha maisha ya viumbe wanaoishi eneo hilo.

“Ngorongoro crater ni moja kati ya mbuga kubwa na nzuri duniani, lakini kuna jambo la kusikitisha kuhusu mbuga hii. Hivi karibuni kuna majani yenye sumu ambayo yameota sehemu kubwa ya mbuga hii na majani haya yamekuwa yakihatarisha maisha ya wanyama hasa wanaokula majani.” – January Makamba.

Bonyeza play kutazama…

VIDEO: Kwa nini January Makamba ameamua kukaa kimya kwenye mitandao ya kijamii? Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millarday

 

 

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: habari daily
Admin April 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maneno ya Diamond baada ya kupost picha ya Chriss Brown
Next Article VIDEO: Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?