Habari za Mastaa

Hiki ni kitu kipya watakachofanya Jay Z na Beyonce kwa pamoja.

on

yyMr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye show mbalimbali.

Hivi sasa wote wawili wameridhia kufanya official tour ya pamoja ambayo ilikuwa ni moja ya kiu kubwa ya fans wa wapenzi hawa na  watafanya show 16 tu.

Sehemu ya pesa zitakazopatikana kwenye tour hiyo zitaenda kwenye foundation ya Shawn Carter.

Tupia Comments