Habari za Mastaa

Cheki picha 11 za wanamichezo maarufu enzi zao wakiwa watoto.

on

0Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto.

Kwenye picha hizi kuna watu kama Cristiano Ronaldo,Lebron James,Lewis Hamilton,Tiger Woods,Michael Owen na wengine.

1Neymar

2David Beckham

3Michael Owen

4Lewis Hamilton

5Diego Maradona

6Messi

7Lebron James

8Tiger Woods

9Serena na Venus Williams

10Cristiano Ronaldo

Tupia Comments